Modern architecture — hero background

Dar es Salaam, Tanzania

KARIBU Bari Software Services

Company profiles, websites, mobile apps, business cards, and proposals — kwa ajili ya biashara zinazolenga kuwa tofauti.

Selected work.

View work

Programu zetu · Our apps

Tuntengeneza Apps
zinazofanya kazi kwenye ubora wa hali ya juu.

We don't sell templates. Every app is custom-built for your exact business — from scratch, in Dar es Salaam.

4

Apps zilizotumwa

100+

Watumiaji hai

Dar

Ilipoundwa

Programu zetu zinatumiwa siku hadi siku — kwenye maeneo ya ujenzi, ofisi za matawi, na mikutano ya biashara.

🏢

BSS ·

BizLink

Multi-branch accounting & management

Simamia matawi yako yote mahali pamoja

Una matawi mengi lakini hesabu zinakusanyika ovyo ovyo?

BizLink inaunganisha matawi yote — hesabu, mauzo, na ripoti — kwenye simu moja.

Kwa wafanyabiashara wenye maduka au ofisi zaidi ya moja.
Omba demo ya BizLink
🎟️

BSS ·

Events

Registration, ticketing & card scanning

Usimamie matukio yako bila msongo

Wasiwasi wa usajili, tiketi bandia, na foleni ndefu mlangoni?

Scan kadi, thibitisha tiketi, na fuatilia wasajiliwa — yote kwa wakati halisi.

Kwa waandaaji wa conferences, mafunzo, na matukio ya biashara.
Omba demo ya Events
👥

BSS ·

Manereja

Attendance, task management & finance

Wafanyakazi, kazi, na fedha — app moja

Unafuatilia mahudhurio kwa karatasi? Mishahara inachukua muda mwingi?

Manereja inarekodia mahudhurio, inagawanya kazi, na inakokotoa mishahara kiotomatiki.

Kwa maofisi, warsha, na biashara zenye wafanyakazi 5 hadi 200.
Omba demo ya Manereja
🏗️

BSS ·

ConstructLink

Construction & real estate management

Miradi ya ujenzi chini ya udhibiti wako

Miradi inachelewa? Gharama zinapanda bila wewe kujua?

Fuatilia kila hatua ya ujenzi, gharama, na wafanyakazi — eneo kwa eneo.

Kwa wakandarasi, wasanifu, na wakuza mali.
Omba demo ya ConstructLink

Una wazo la programu yako mwenyewe?

We build custom software for any business — not just the four above. Let's talk.

Zungumza nasi leo

Flutter & Node.js · 4 production apps

Imetengenezwa na BSS · Dar es Salaam, Tanzania

BSS — construction and real estate focus

Why BSS

Built for Tanzanian businesses.

We understand the local market. From small contractors to established real estate developers, we design materials that open doors and win trust — on time and on budget.

Learn more

The team

The team

Bari Kaneno

Bari Kaneno

Founder & Lead Developer

Naomi Shadrack

Naomi Shadrack

Secretary

Merryness Melchiory

Merryness Melchiory

Marketing Officer

Nyakato Gaudentia

Nyakato Gaudentia

Advisor

Ready to grow your brand?

Let's talk about your project. We respond within 24 hours.

Start a conversation
WhatsApp